KITAIFA
Serikali yatoa milioni 403 kurejesha mawasiliano Mbinga
Na Mwandishi wetu, Ruvuma
KATIKA mwaka wa fedha 2024/2025, Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Mbinga imepokea jumla ya shilingi...
KIMATAIFA
Odinga kuzikwa Jumapili Bondo
Nairobi, Kenya
Kamati ya Kitaifa inayoandaa Mazishi ya Kitaifa ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, imetangaza kwamba mazishi yake yatafanyika Jumapili nyumbani...
MICHEZO
Marufuku mashabiki wa Simba na Yanga kuingia na silaha uwanjani-Kamanda Muliro
Na Mwandishi wetu, Dar es salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limetoa Onyo kali kwa Mashabiki wote wa Klabu ya Simba...
POPULAR VIDEO
BALOZI NCHIMBI AKOSHWA NA MAFUNZO YA VIONGOZI WA KISIASA WANAWAKE NCHINI.
Na Mwandishi wetu,Dodoma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amefurahishwa na mafunzo yanayotolewa kwa Viongozi wa kisiasa wanawake...








































