MOI yatoa matibabu ya kibingwa na kibobezi Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro
Na Abdallah Nassoro- Morogoro
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislam...
Evelin: Mama anayepambana na mwanaye asiye na jinsia katikati ya umasikini
Na Esther Mnyika, Lajiji-Dar es Salaam
Katika pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam, ndani ya nyumba ya bati iliyochakaa kwenye mtaa wa Mkamba, kata...
Mhagama: azindua Bodi ya Wadhamini ya MOI
Dodoma
WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) na kuitaka bodi hiyo...
Majaliwa: kamilisheni uchunguzi wa wizi wa vifaa vya hospitali
▪️Asema Serikali haitomvumia mtumishi atakayethibitika kuhusika na wizi
Mwanza
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa...
Moi yaandika historia yawa ya kwanza Afrika kuendesha mafunzo maalum ya upasuaji wa mishipa...
Dar es Salaam
BAADA ya kuandika historia kwa upasuaji wa kutumia akili unde, sasa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeandika...
MOI YANADI HUDUMA ZAKE ZA KIBOBEZI KATIKA WIKI YA AFYA ZANZIBAR
Zanzibar
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10,...
MOI KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA WIKI YA AFYA KITAIFA DODOMA
Dodoma
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika Wiki ya Afya kitaifa 2025 inayofanyika jijini Dodoma, ambapo wananchi watapa huduma...
MOI YATOA MATIBABU YA KIBINGWA BURE KWA WANANCHI VIWANJA VYA AMANI ZANZIBAR
Zanzibar
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika kambi ya matibabu ya kibigwa na kibobezi ya mifupa, ubongo, mgongo, mishipa...
MOI KUANZA KUFANYA UPASUAJI WA UBONGO KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA AKILI UNDE
Na Abdallah Nassoro- Dar es Salaam
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), mapema wiki hii inatarajia kuanza kutoa huduma za upasuaji wa...
WIZARA YA AFYA YAWASILISHA VIPAUMBELE 11 VYA BAJETI 2025/26 MBELE YA KAMATI YA BUNGE
Dodoma
WIZARA ya Afya imewasilisha vipaumbele 11 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI ambavyo ni pamoja na kuimarisha...