HOSPITALI YA MUHIMBILI YAPOKEA MASHINE MAALUMU KWAAJILI YA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI

 Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital HOSPITALI ya Taifa Muhimbili(MNH) imepokea mashine maalumu  Mammography aina ya Senographe Pristina 3D yenye thamani  ya milioni 800 kwaajili ya...

WATOTO 13 WAFANYIWA UPASUAJI WA KUNYOOSHA KIBIONGO MOI

Dar es Salaam TAASISI ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa...

WAGONJWA 12 KUFANYIWA UPASUAJI WA MGONGO KWA KUTUMIA MATUNDU MADOGO WAKATI WA KAMBI MAALUM...

Dar es Salaam WAGONJWA 12 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa mgongo kwa kutumia teknolojia mpya ya upasuaji kwa matundu madogo (Spine Endoscope) katika Taasisi ya...

MOI YANADI HUDUMA ZAKE ZA KIBOBEZI KATIKA WIKI YA AFYA ZANZIBAR

Zanzibar TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10,...

KILA MWAKA WATOTO 7500 HUZALIWA NA MATATIZO MBALIMBALI IKIWEMO VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI

Dar es Salaam TAKWIMU za Wizara ya Afya zinaonyesha kila mwaka watoto 7500 huzaliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo...

KUOZA MENO, MAPENGO NI TATIZO KUBWA LA AFYA YA KINYWA NA MENO MKOANI PWANI...

Na Scolastica Msewa, Kibaha WANANCHIi zaidi ya 6000 wamejitokeza kupata huduma ya afya ya kinywa na meno mkoani Pwani Katika kipindi cha wiki Moja ikiwa...

MOI YAANZA RASMI KUFANYA UPASUAJI WA UTI WA MGONGO KWA NJIA YA MATUNDU

Dar es Salaam TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi kutoa huduma mpya za upasuaji uti wa mgongo kwa kutumia...

MOI YAWAHIMIZA WAGONJWA NA NDUGU WA WAGONJWA KUDAI RISITI BAADA YA KUFANYA MALIPO

Dar es Salaam WAGONJWA na ndugu wa wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamehimizwa...

Serikali yazindua mafunzo ya mtandao ya Afya moja(ECHO)

Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam SERIKALI imeanzisha mafunzo kwa njia ya mtandao ya Afya moja (ECHO) ili kuwajengea uwezo watoa huduma wa kada za afya...

Evelin: Mama anayepambana na mwanaye asiye na jinsia katikati ya umasikini

Na Esther Mnyika, Lajiji-Dar es Salaam Katika pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam, ndani ya nyumba ya bati iliyochakaa kwenye mtaa wa Mkamba, kata...