Demokrasia sio ruhusa ya kutukana wengine-Wasira
Ruvuma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya...
Mitano tena ni kwa Dk.Samia tu,wengine subirini kuchujwa_Wasira
Ruvuma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, ‘Mitano Tena’ ni kwa mgombea...
Wasira akoleza moto wa kampeni Oktoba tunatiki
Ruvuma
MAKUMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amewaonya wanachama wa CCM na Watanzania kwa ujumla, wasidanganywe na kauli mbiu...
Makalla:Tanzania na Kenya tuna uhusiano mzuri wa kihistoria
TARAKEA- ROMBO
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uhusiano uliopo kati ya...
Wasira: hatuahirishi Uchaguzi Mkuu ng’o
Ruvuma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo...
Sheikh Ponda ajiunga na ACT Wazalendo
Dar es Salaam
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania ,Sheikh Ponda Issa Ponda amejiunga rasmi, Chama cha Act Wazalendo huku akipewa rasmi...
Ntobi wa Chadema aibukia ACT Wazalendo
Dar es Salaam
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Shinyanga, Emanuel Ntobi, leo Juni, 3 2025 amejiunga rasmi na...
CCM kufadhili kitabu cha Mzee Songambele kuenzi historia ya nchi
*Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dk. Samia msibani
Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee...
Samia: Tusigwajimanize CCM, vikao vichuje wagombea kwa haki na uadilifu
Na Esther Mnyika, Dodoma
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito mzito...
Hemed: SMZ imetekeleza Ilani ya CCM kwa kishindo
*Dk Mwinyi ameweka alama ya kipekee Zanzibar
Na Esther Mnyika, Lajiji-Dodoma
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,...