Dk. Samia aahidi kuanza ujenzi wa daraja na soko la kisasa Jangwani
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu...
Gombo aahidi kununua meli kubwa ya kisasa
Na Mwandishi wetu, Ruvuma
MGOMBEA Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amesema atakapopata ridhaa...
Uteuzi wa wagombea CCM kufanyika Julai, 28
Na Mwandishi wetu, Dodoma
KATIBU Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema maandalizi ya mchakato wa uchaguzi ndani...
Dk. Mwinyi: Amani ya Zanzibar haitachezewa
Na Esther Mnyika, Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa hataruhusu amani ya nchi ichezewe...
Doyo aahidi kurejesha reli ya Masasi-Dar es Salaam
Na Mwandishi wetu, Mtwara
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, ameahidi kuwa serikali yake,...
Dk.Mwinyi aahidi kuboresha masoko ya wafanyabiashara Zanzibar
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema endapo akipewa ridhaa ya kuongoza tena...
Idadi ya wananchama CCM yavuka milioni 13, yafanya mabadiliko ya Katiba kuendana na teknolojia
Na Esther Mnyika, Dodoma
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea jumla ya wanachama wapya 13,000,670 hadi kufikia Mei 29, 2025, ikiwa ni ongezeko kubwa linaloashiria kuendelea...
Museveni kuwania tena Urais Uganda 2026
Kampala, Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amethibitishwa kuwa atawania tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mapema mwaka 2026, hatua itakayoongeza muda wake...
Wasira: CCM hatutaki mgombea ila tunateua wachache kati ya wengi
Na Mwandishi wetu, Mwanza
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema kazi iliyobaki baada ya kuvunja Bunge ni kuendesha taratibu za namna...
Polisi Somalia wawakamata wafuasi wa TikTok kwa kumtusi Rais Mohamud
Mogadishu, Somalia
Polisi nchini Somalia wamewakamata vijana wanne wanaotumia mtandao wa TikTok kwa madai ya kumtusi Rais Hassan Sheikh Mohamud kupitia video ya densi.
Katika video...












