Dk. Mwinyi: Amani, umoja na maridhiano ndiyo nguzo za maendeleo Zanzibar

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa sasa wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka...

Dk. Mwinyi aahidi mikopo, mafunzo kwa wajasiriamali wa utalii Zanzibar

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameielekeza Taasisi ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZAEA) kuhakikisha...

Dk. Samia: Uchumi Tanzania Bara kukua kwa asilimia saba 2026/27

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa endapo atachaguliwa...

Dk. Samia: TASAF umeondoa wengi katika umaskini, nitauendeleza

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema usimamizi mzuri wa...

Samia aahidi kuimarisha wajasiriamali kupitia mikopo isiyo na riba

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake...

Dk. Samia aahidi kukuza uchumi, ajira na utawala bora

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kwamba ndani ya...

Dk. Mwinyi: Amani, umoja na maridhiano ndiyo msingi wa maendeleo Zanzibar

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa sasa wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka...

Dk. Mwinyi aahidi ajira zaidi ya 350,000 kwa vijana Zanzibar

Na Esther Mnyika, Lajiji- Zanzibar Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuendeleza zaidi miradi...

Dk. Mwinyi aahidi kudhibiti mfumuko wa bei na kuanzisha hifadhi ya mafuta Zanzibar

Na Esther Mnyika, Zanzibar Mgombea urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema endapo...

UDSM yaja na bajaji inayotumia maji na mafuta

*Uwepo wa mfumo wa maji katika bajaji unatajwa kuwa moja ya njia inayoweza kupunguza gharama za uendeshaji kwani injini inapopoa hutumia mafuta kidogo Dar es...