MONGELLA: CCM HAKUNA KUPOA
Manyara
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, John Mongella, amewahimiza viongozi wa chama mkoani Manyara kuongeza juhudi katika kuimarisha CCM...
RAIS MWINYI AZINDUA RASIMU YA DIRA YA 2050.
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo makuu ya Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya...
WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI WIZARA YA UJENZI.
Dar es Salaam
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi katika...
TUENDELEE KUTUMIA TEKNOLOJIA KATIKA SHUGHULI ZA UHIFADHI – DK. ABBASI
Na Joyce Ndunguru, Morogoro
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Hassan Abbasi ameelekeza kuendelea kwa matumizi ya teknolojia mbalimbali katika ulinzi wa...
REA YAENDESHA MAFUNZO NA KUGAWA MAJIKO YA GESI KWA WATU WA MAKUNDI MAALUM WILAYANI...
Geita
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) Desemba, 10 2024 imeendesha mafunzo maalum kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kushirikiana na Taasisi ya...
UMOJA WA ULAYA KUONGEZA MASOKO BIDHAA ZA TANZANIA
Dar es Salaam
TANZANIA na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuongeza upatikanaji wa masoko ya umoja huo kwa bidhaa za Tanzania na kuvutia uwekezaji zaidi...
MATENGENEZO MTAMBO WA RUVU JUU YAANZA
Dar es Salaam
MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa maandalizi ya matengenezo ya dharura ili kuzuia...
BoT YAJA NA MFUMO WA KIDIGITALI WA MALALAMIKO
Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) inatarajia kuzindua mfumo wa kidigitali wa utatuzi wa Malalamiko ya wananchi(FCRS), utakaomwezesha mtumiaji wa huduma za...
SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI WANAOTOA MIKOPO KAUSHA DAMU
Na Farida Ramadhani na Chedaiwe Msuya, Dar es salaamn
SERIKALI imesema itaendelea kuchukua hatua kali kwa taasisi zote zininazotoa huduma za fedha kinyume cha...
DK.CPA. MALUNDO ATUNIKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA NA CHUO CHA MAREKANI
Dar es Salaam
MKURUGENZI wa Kampuni ya Y.h.Malundo & Co inayojishughulisha na Uhasibu,Ukaguzi wa Hesabu,Ushauri wa Kodi na Menejimenti ya Fedha, CPA.Yona Malundo ametunukiwa...