DK. NCHEMBA AFUNGUA KIKAO KAZI TRA JIJINI ARUSHA
Benny Mwaipaja, Arusha
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kwa kuongeza makusanyo ya kodi kutoka sh. trilioni 22.2...
RAIS DK.SAMIA: MAHAKAMA YA TANZANIA ITAKUWA NA MCHANGO MKUBWA KUIWEZESHA TANZANIA KUFIKIA...
Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Mahakama ya Tanzania itakuwa na mchango mkubwa katika kuiwezesha Tanzania kufikia malengo yake ya maendeleo kama yatakayobainishwa...
Majaliwa: Wakuu wa Mikoa hamasisheni wananchi kutumia huduma za msaada wa kisheria
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuhakikisha wanaendelea kuhamasisha wananchi kutumia huduma ya kisheria...
JUMUIYA YA SHIA WAMPONGEZA RAIS DK.MWINYI KWA MAENDELEO
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Jumuiya ya Shia Tanzania kumpongeza...
UWEPO WA SGR UNAASHIRIA UTOSHELEVU WA UMEME NCHINI – DK. BITEKO
📌Asema Nishati ya Umeme ya Uhakika Yafungua Fursa za Uchumi
📌Njia Kubwa Zaidi ya Umeme Kujengwa Kutoa Umeme JNHPP hadi Dodoma
Dar es Salaam
NAIBU Waziri...
TCCIA NA CHEMBA YA KIMATAIFA YA DUBAI YASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA BIASHARA NA...
Magrethy Katengu, Dar es salaam
CHEMBA ya Biashara Kimtaifa ya Dubai imesaini hati ya makubaliano ( MoU ) na Chemba ya Biashara ,Viwanda, Kilimo Tanzania...
USALAMA WA BAHARINI UNA MUHIMU KWA UCHUMI WA DUNI
Dar es Salaam
KATIBU Mkuu wa Shirika la Bahari Duniani (IMO), Antonio Dominguez amesema usalama wa baharini una umuhimu mkubwa kwa uchumi wa dunia kwani...
GAVANA BoT AISHUKURU IMF KWA MCHANGO WAKE KUENDELEZA UCHUMI TANZANIA
Dar es Salaam
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake katika kuendeleza...
FCT TOENI MAAMUZI KWA HAKI
Na Esther Mnyika, @ Lajiji Digital
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Mkoa Dar es Salaam Dk. Toba Nguvila ameliagiza Baraza la Ushindani (FCT) kutoa...