CHUO CHA FURAHIKA KUJA NA KOZI MPYA YA UKONDAKTA WA MABASI KWA WANAWAKE.
Na Sophia Kingimali, Dar es Salaam
CHUO cha Ufundi Stadi cha Furahika (VETA) kimeanzisha program mpya ya kuwafundisha watoto wa kike masuala ya...
TMA YATOA UTABIRI MWELEKEO WA MVUA ZA MSIMU WA VULI MWEZI OCTOBA HADI DISEMBA,2024
Dar es salaam
MAMLAKA ya Hali ya Hewa (TMA) imesema kuanzia Octoba hadi Desemba 2024 mvua za chini ya wastani wa katika maeneo mengi zinatarajiwa...
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ANAYESHUGHULIKIA UTALII AMETEMBELEA MABANDA MBALIMBALI...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Utalii), Nkoba Mabula leo Julai mosi 2024 ametembelea mabanda mbalimbali ya wizara hiyo yaliyopo kwenye...
MTIANIA URAIS IFM AITAKA SERIKALI KUTOINGIZA SIASA VYUONI
Dar es Salaam
MTIANIA wa nafasi ya Urais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Barnabas Samwel amesema kumekuwa...
MENEJA TRA KIBONDO AKAMATWA NA MENO YA TEMBO
Kigoma
JESHI la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma...
TMA YATOA TAARIFA YA MWELEKEO WA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA
Dar es salaam
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema Mvua za Masika zinatarajiwa kuanza mwezi Machi 2025 katika maeneo yanayopata misimu miwili ya...
MADIWANI MAGU WATAKA JIMBO LAO KUGAWANYWA
Na Mwandishi wetu, Magu
BARAZA la Madiwani wilayani Magu Mkoani Mwanza limekubaliana kugawa Jimbo la Magu kuwa Majimbo mawili kutokana na ukubwa wake wa kijografia...
AFISA UTHIBITI UBORA WA KANDA YA ZIWA ATOA NASAA KWA WANAFUNZI
Mwanza
WANAFUNZI wanaotarajiwa kuanza elimu ya sekondari wameaswa kupokea kwa mtazamo chanya masomo ya amali watakayoanza kusoma mwakani kwani yamelenga kuwaandaa kuwa na maarifa makubwa...
JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 14 WILAYANI MASWA
Na Shomari Binda-Maswa
MAHAKAMA ya Hakimu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemtia hatiani mshitakiwa Beatus Manon mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa Kijiji...
BASI LA SHABIBY LAPATA AJILI
Basi la Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma, likiwa na zaidi ya abiria 25, limepata...












