Dk.Mwigulu: Fanyeni mapitio ya tamko la mali na madeni
Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya haraka kwenye tamko...
Miradi ya kilimo yatakiwa kumkomboa mkulima
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI wa Kilimo, Daniel Chongolo ameitaka miradi ya kilimo ikiwemo miradi ya umwagiliaji kuongeza tija na uzalishaji wa mazao ili...
Wizara ya Elimu yaanzisha mfumo wakuwabana wanaoacha shule- Profesa Mkenda
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
WIZARA ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekiri uwepo wa wanafunzi wanaoacha shule kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo zakifamilia...
DK. Mwigulu: wafanyabiashara wasinyang’anywe bidhaa zao
Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ametoa maagizo kwa viongozi wa majiji na halmashauri zote nchini kuhakikisha wafanyabiashara hawanyang’anywi bidhaa zao...
Profesa Kitila: Vijana lazima kubadili mtazamo ili kupambana na ukosefu wa ajira
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema vijana wengi bado wamekwama...
Tanzania yashinda Tuzo ya dunia katika sekta ya utalii
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
TANZANIA imepata tena heshima kubwa baada ya kushinda tuzo ya dunia katika sekta ya utalii wa safari kwa...
Waziri Ndejembi azindua Mita Janja
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
SERIKALI imeendelea kuimarisha sekta ya nishati kupitia uwekezaji mkubwa wa zaidi ya shilingi trilioni 13.5 katika miradi 41...
Dk.Migiro: Tunao wajibu kwa Tanzania iliyo salama
Na Mwandishi wetu, Dodoma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Asha Rose Migiro amesema Watanzania wote kwa pamoja, wanaowajibu wa kuhakikisha taifa...
DCEA yataifisha mali za bilioni 3,yakamata kilogramu 3,799.22 ya dawa za kulevya
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu...
Rais Dk.Samia viongozi wa dini msivuruge amani
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kuacha kujivika majoho ya kuendesha nchi kwa utashi wao...












