TUSOMANE VITUONI NOVEMBA 27
Ni maneno yanayosomeka kwenye mabango yanayotumiwa na mashabiki mbalimbali wa Simba na Yanga (Watoto wa Mama) kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa...
DK. BITEKO AUNGANA NA WANABUKOMBE KWENYE MBIO FUPI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk.Doto Biteko leo Oktoba 10, 2024 ameungana na wananchi wa Bukombe kwenye mazoezi ya kukimbia mbio fupi...
MAJALIWA: RAIS DK. SAMIA ANAMATUMAINI MAKUBWA NA TAIFA STARS
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa...
DK.STERGOMENA AKABIDHIWA JEZI YA TIMU YA MASHUJAA FC
Dar es Salaam
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Stergomena Lawrence Tax Oktoba, 2 2024 amekabidhiwa jezi ya Timu...
LINA PG TOUR YAMSOGEZA MOLLEL KARIBU NA DUBAI
Arusha
MCHEZAJI gofu ya kulipwa Nuru Mollel ana uhakika wa kutwaa ubingwa wa michuano baada ya kushinda raundi ya nne ya michuao ya Lina...
MABINGWA WA MASHINDANO YA GOFU YA LINA PG TOUR WATEMBELEA KABURI LA MLEZI WA...
Kilimanjaro
MABINGWA wa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour wametembelea kaburi la mlezi wa maendeleo ya gofu ya wanawake nchini, marehemu Lina Nkya...
MSHIKAMANO FC YATINGA FAINALI POLISI JAMII CUP 2024 MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Mshikamano fc imetinga fainali ya michuano ya Polisi Jamii Cup 2024 Musoma kwa kuifunga timu ya Kigera fc kwa changamoto...
RAIS MWINYI: SMZ KUJENGA UWANJA MPYA WENYE VIWANGO VYA FIFA
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inajipanga kujenga uwanja mkubwa wa...
MASHINDANO KNK CUP 2024 YAHITIMISHWA, MABINGWA WA BUKOMBE, KARAGWE KUCHUANA
📌 Mshindi wa Kwanza anyakua kitita cha milioni 5
📌 Simba, Yanga Wateka Vijana wenye Vipaji
Geita
MASHINDANO ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu...
LAKE VICTORIA FC YASHEREHEKEA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI KWA USHINDI MASHINDANO YA...
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Lake Victoria imesherehekea miaka 60 ya jeshi la polisi kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Kamnyonge kwenye...