KAMATI YA MAANDALIZI AFCON 2027 YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
Dar es Salaam
KAMATI ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024...
TANZANIA NA IVORY COAST ZAINGIA RASMI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MICHEZO
Na, Brown Jonas WUSM, Dar es Salaam.
WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Michezo ya Ivory coast...
MAJALIWA: SERIKALI ITAENDELEA KUIPA KIPAUMBELE SEKTA YA MICHEZO
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita imejipanga kikamilifu kuhakikisha kuwa sekta ya michezo inaendelea kuwezeshwa na kupewa...
MABINGWA WA MASHINDANO YA GOFU YA LINA PG TOUR WATEMBELEA KABURI LA MLEZI WA...
Kilimanjaro
MABINGWA wa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour wametembelea kaburi la mlezi wa maendeleo ya gofu ya wanawake nchini, marehemu Lina Nkya...
Taifa Stars kuvuna bilioni moja ikitwaa ubingwa CHAN 2024
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya donge nono ya fedha taslimu shilingi bilioni moja iwapo...
MUHIMBILI YAJIDHATITI KWA UCHUNGUZI NA MATIBABU AFCON
Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila) imejiandaa kikamilifu katika kutoa huduma za uchunguzi na matibabu kwa wachezaji watakaoshiriki mashindano ya...
YANGA TAWI LA MUSOMA WACHANGIA DAMU NA KUTOA MSAADA HOSPITAL MANSPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda, Musoma
WANACHAMA na mashabiki wa timu ya Yanga kwa kushirikiana na benki ya NBC tawi la Musoma wamechangia damu na kutoa msaada...
MAJALIWA AHITIMISHA JIMBO CUP RUANGWA.
Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo.
Lindi
WAZIRI Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo...
WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI DODOMA
Na Chedaiwe Msuya na Asia Singano, Dodoma
WIZARA ya Fedha pamoja na Taasisi zake, Tanzania Bara na Ofisi ya Rais Fedha na Mipango zanzibar...
Rais Dk.Samia aipongeza simba
Hongereni sana Klabu ya Simba kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mafanikio yenu si tu furaha na fahari...