Iran: Lazima Tujibu Mashambulizi ya Marekani – Waziri wa Mambo ya Nje

Tehran, Iran  Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa taifa lake halina budi kujibu mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vya...

Putin hana mpago wakuzungumza na Trump kuhusu mashambulizi ya Marekani, Iran

Moscow, Russia Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hana mpango wowote wa kuzungumza na mwenzake wa Marekani, Donald Trump, kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi...

Afrika ipewe uhuru wa kuzalisha nishati kwa kutumia rasilimali zake-Dk. Biteko

📌Ahimiza Tanzania na Urusi kuendeleza uhusiano wake wa kuheshimiana 📌Tanzania kutumia makaa ya mawe kuzalisha umeme wastani wa megawati 120 📌 Tanzania yapongezwa kwa mafanikio yake...

Dk. Mpango : ahutubia mkutano wa bahari wa Umoja wa Mataifa atoa wito kwa...

Ufaransa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Mataifa kuhakikisha kunakuwa na hatua za pamoja, mshikamano...

Majaliwa: Serikali itaendeleza mikakati ya kuwaunganisha Wafanyabiashara

Japan WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea na mikakati ya kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wa Mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Japan ili kuwawezesha...

Waziri Mkuu anadi vivutio vya utalii na uwekezaji

▪️Ni katika siku ya Tanzania kwenye maonesho ya Osaka World EXPO 2025 ▪️Asema mauazo ya bidhaa za Tanzania Japan yafikia sh bilioni 37 ▪️Asisitiza Tanzania ni...

GST na BGS ya Uingereza zasaini hati ya makubaliano utafiti wa madini

London TAASISI ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) na Taasisi ya Jiolojia ya Uingereza (BGS) zimesaini makubaliano ya ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo...

Dk. Biteko ateta na Spika wa Bunge Morocco

📌 Tanzania, Morocco wakubaliana kuimarisha ushirikiano Morocco NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya...

Tanzania, Morocco kuongeza ushirikiano sekta ya nishati

📌 Matumizi ya teknolojia kupewa kipaumbele Sekta ya Nishati 📌 Morocco wampongeza Rais Samia kwa usimamizi bora Sekta ya Nishati Morocco Serikali ya Tanzania na Ufalme...

Dk. Biteko awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi

📌Ushirikiano Tanzania, Morocco kuimarishwa Morocco NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi inayolenga kukuza na...