WATANZANIA WANAJIVUNIA MIAKA 3 YA UWEZO MKUBWA; NCHIMBI

Na Mwandishi wetu, Zimbabwe KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia...

TANZANIA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA YA MAGARI YA UMEME SINGAPORE – DK. BITEKO

📌 Ashuhudia Teknolojia ya Kilimo janja (Smart farm) kinachotumia Teknolojia Mnemba 📌 Awapongeza HYUNDAI kwa ubunifu na kulinda mazingira Singapore NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa...

DK.BITEKO ASHIRIKI KIKAO CHA 19 CHA MAWAZIRI WA NISHATI UGANDA.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akisalimiana na Mwenyekiti wa Mawaziri wa Nishati (Eastern Africa Power Pool) ambae pia ni...

TCAA CCC KUANZA KUTUMIA AKILI MNEMBA (AI) KATIKA KUTOA ELIMU KWA WATUMIAJI WA USAFIRI...

Na Mwandishi wetu BARAZA la Ushauri la Watumiaji Huduma za Anga (TCAA CCC) limeahidi kuanza kutumia Teknolojia ya akili mnemba "Artificial intelligence " ili...

TANZANIA YAPONGEZWA KWA USTAWI WA ADPA

Na Mwandishi wetu, Zimbabwe SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini imepongezwa na Wanachama wa Umoja wa Nchi zinazozalisha Almasi Afrika (ADPA) kwa kusaidia...

Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Belarus

Washuhudia utiaji saini hati tatu za makubaliano na mkataba mmoja Minsk WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Belarus, Alexander Turchin na kujadiliana naye...

Trump: Sikuarifiwa mapema kuhusu shambulizi la Israel nchini Qatar

Washingtona, Marekani Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Jumatatu kwamba hakujulishwa mapema na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuhusu shambulizi la anga la Israel...

Polisi Somalia wawakamata wafuasi wa TikTok kwa kumtusi Rais Mohamud

Mogadishu, Somalia Polisi nchini Somalia wamewakamata vijana wanne wanaotumia mtandao wa TikTok kwa madai ya kumtusi Rais Hassan Sheikh Mohamud kupitia video ya densi. Katika video...

MABINTI WA KATA YA KITUNDA WAJIFUNZA UJASIRIAMALI.

Na Mwandishi wetu,@Lajiji Digital MWAKILISHI wa Afisa Maendeleo Mkoa wa Dar es Salaam,Masalida Njashi amewatoa hofu mabinti wa Kata ya Kitunda Wilaya ya Ilala...