Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Belarus
Washuhudia utiaji saini hati tatu za makubaliano na mkataba mmoja
Minsk
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Belarus, Alexander Turchin na kujadiliana naye...
Dk.Biteko asama nishati itakayozalishwa na Nyuklia kujumuishwa Gridi ya Taifa
📌 Asema ni nishati yenye unafuu wa gharama kulinganisha na vyanzo vingine vya nishati, pia isiyochafuzi kwa mazingira.
📌 Asisitiza nyuklia kwa ajili ya kuzalisha...
Museveni kuwania tena Urais Uganda 2026
Kampala, Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amethibitishwa kuwa atawania tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mapema mwaka 2026, hatua itakayoongeza muda wake...
Iran: Lazima Tujibu Mashambulizi ya Marekani – Waziri wa Mambo ya Nje
Tehran, Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa taifa lake halina budi kujibu mashambulizi ya Marekani dhidi ya vituo vya...
Putin hana mpago wakuzungumza na Trump kuhusu mashambulizi ya Marekani, Iran
Moscow, Russia
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hana mpango wowote wa kuzungumza na mwenzake wa Marekani, Donald Trump, kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi...
Afrika ipewe uhuru wa kuzalisha nishati kwa kutumia rasilimali zake-Dk. Biteko
📌Ahimiza Tanzania na Urusi kuendeleza uhusiano wake wa kuheshimiana
📌Tanzania kutumia makaa ya mawe kuzalisha umeme wastani wa megawati 120
📌 Tanzania yapongezwa kwa mafanikio yake...
Dk. Mpango : ahutubia mkutano wa bahari wa Umoja wa Mataifa atoa wito kwa...
Ufaransa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Mataifa kuhakikisha kunakuwa na hatua za pamoja, mshikamano...
Majaliwa: Serikali itaendeleza mikakati ya kuwaunganisha Wafanyabiashara
Japan
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea na mikakati ya kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wa Mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Japan ili kuwawezesha...
Waziri Mkuu anadi vivutio vya utalii na uwekezaji
▪️Ni katika siku ya Tanzania kwenye maonesho ya Osaka World EXPO 2025
▪️Asema mauazo ya bidhaa za Tanzania Japan yafikia sh bilioni 37
▪️Asisitiza Tanzania ni...
GST na BGS ya Uingereza zasaini hati ya makubaliano utafiti wa madini
London
TAASISI ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) na Taasisi ya Jiolojia ya Uingereza (BGS) zimesaini makubaliano ya ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo...