SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES LIMETANGAZA MIPANGO MIPYA KATIKA SHUGHULI ZA KIBIASHARA

Na Mwandishi wetu, @Lajiji Digital SHIRIKA la Ndege la Emirates limetangaza mipango yake mipya katika shughuli za kibiashara katika nchi zote ambazo zinahudumiwa na...

RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS XI JINPING WA CHINA. 

CHina RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutano  na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema...

Pinda ahutubia kongamano la vyama vya ukombozi Afrika Kusini

Na Mwandishi Wetu, Afrika Kusini WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mizengo Pinda amesema ushirikiano na...

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO JAMHURI YA KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika katika Hoteli ya...

WAKUU WA NCHI NA SERIKALI AFRIKA WAIPA KONGOLE TANZANIA UZALISHAJI MAZAO YA CHAKULA AFRIKA.

*Rais Museveni asifu bora wa mchele wa Tanzania, asisitiza kushindana kwa ubora Uganda WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema viongozi wa nchi za Afrika wameonesha matumaini...

TCAA CCC KUANZA KUTUMIA AKILI MNEMBA (AI) KATIKA KUTOA ELIMU KWA WATUMIAJI WA USAFIRI...

Na Mwandishi wetu BARAZA la Ushauri la Watumiaji Huduma za Anga (TCAA CCC) limeahidi kuanza kutumia Teknolojia ya akili mnemba "Artificial intelligence " ili...

DK.BITEKO ASHIRIKI KIKAO CHA 19 CHA MAWAZIRI WA NISHATI UGANDA.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akisalimiana na Mwenyekiti wa Mawaziri wa Nishati (Eastern Africa Power Pool) ambae pia ni...

MABINTI WA KATA YA KITUNDA WAJIFUNZA UJASIRIAMALI.

Na Mwandishi wetu,@Lajiji Digital MWAKILISHI wa Afisa Maendeleo Mkoa wa Dar es Salaam,Masalida Njashi amewatoa hofu mabinti wa Kata ya Kitunda Wilaya ya Ilala...

DK. BITEKO ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS DUMA BOKO BOTSWANA

Botswana  NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo Novemba 8, 2024 amemwakilisha Rais wa...

TANZANIA KUENDELEA KUFANYA MASHAURIANO NA UENDELEZAJI USHOROBA LOBITO_DK. MPANGO

Angola MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema Tanzania inaendelea kufanya mashauriano ndani ya Serikali ili kuona...