RC CHALAMILA WAFANYABIASHARA WALIOFUNGUA MADUKA KARIAKOO WASISHINIKIZWE KUFUNGA

-Asema falsafa ya Dk. Samia ni kutatua migogoro kwa kukaa mezani pamoja -Asisitiza kamwe migogoro haiwezi kusuluhishwa kwa mashinikizo Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa...

WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAIOMBA SERIKALI TOZO ZOTE ZA MIZIGO KUISHIA BANDARINI Dar es salaam JUMUIYA ya wafanyabiashara Kariakoo wamemuomba Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutoa maelekezo kwa...

ZEEA YAANZA KUTOA MIKOPO KIDIJITALI, MAAFISA WASHAURI KUWA MAKINI

Zanzibar MIKOPO kwa njia ya kidijitali inayoanza kutolewa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) imeelezwa kuwa itawasaidia wananchi kupata fedha kwa wakati...

TANI 1100 ZA UFUTA ZIMEUZWA PWANI KATIKA MNADA WA NNE KWA SHILINGI 3280/- KWA...

Pwani TANI 1100 za zao la ufuta zimeuzwa katika mnada wa nne wa msimu wa mwaka 2024/25 kwa bei ya shilingi 3280.13 kwa kilo Moja...

MKEYENGE : UELEWA WA WATANZANIA KUHUSU ELIMU YA BIMA NI ASILIMIA MBILI

Dar es Salaam MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Taifa la Bima (NIC), Kaimu Mkeyenge amesema wananchi wa Tanzania wana uelewa wa asilimia mbili tu...

SAGCOT :PARACHICHI LINALOLIMWA NCHINI LINA THAMANI NJE YA NCHI

Dodoma TAAASISI Inayojihusisha na Mpango wa Kukuza Kilimo Ukanda wa Kusini Mwa Tanzania (SAGCOT) imesema zao la parachichi linalolimwa hapa nchini lina ubora...

UDSM yaja na bajaji inayotumia maji na mafuta

*Uwepo wa mfumo wa maji katika bajaji unatajwa kuwa moja ya njia inayoweza kupunguza gharama za uendeshaji kwani injini inapopoa hutumia mafuta kidogo Dar es...

Dk. Mwinyi aahidi ajira zaidi ya 350,000 kwa vijana Zanzibar

Na Esther Mnyika, Lajiji- Zanzibar Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuendeleza zaidi miradi...

MAMA NA BABA LISHE WA SOKO LA SAMAKI FERI KUFUNGIWA MTAMBO WA GESI YA...

Na Esther Mnyika NAIBU Spika wa Bunge, Azzan Zungu, amewahakikishia Mama Lishe na Baba lishe katika Soko la Samaki la Kimataifa Feri kuwa watafungiwa...

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA ATOA RAI WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA.

Dar es Salaam MWENYEKITI waJumuiya ya Wafanyabiashara Soko la Kimataifa la Kariakoo, Martin Mbwana ametoa rai kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao na kuendelea kufanyakazi...