WASIRA KURINDIMA SIKU TANO MKOANI DODOMA
Anatarajiwa kuanza ziara ya kishindo kuimarisha Chama
Pia ataweka mawe ya msingi katika miradi ya maendeleo
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen...
MAKALLA: UBORESHAJI WA BANDARI UMEONGEZA MAPATO NA KASI YA UONDOSHAJI MAKONTENA BANDARINI
Zaidi ya shilingi Bilioni 432 zimewekezwa ununuzi vifaa vya kisasa na mifumo
•Siku za kuondosha mskasha zimepungua kutoka siku 40 hadi siku 0 au 3
•uingizaji...
WASIRA AKUTANA NA KADINALI PROTASE RUGAMBWA TABORA
Tabora
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu...
WASIRA: WATANZANIA KATAENI KUYUMBISHWA NA WASIOTAKIA MEMA NCHI.
Tabora
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si...
MAKALLA AANZA ZIARA MKOA WA LINDI
•Akagua barabara na madaraja SOMANGA
•Atoa pole na kumshukuru Rais Samia kutoa fedha zaidi Bilioni 100 kujenga madaraja
•Ampongeza Waziri Abdallah Ulega na Tanroad kwa kuwahi...
MCHOME AMBANANISHA LISSU
Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome amemuomba Msajili wa Vyama Vya...
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM...
BALOZI NCHIMBI : ATOA WITO UCHAGUZI MKUU 2025
Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo...
WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA
Simiyu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na Chama cha Demokrasia...
WASIRA ATOA SIKU 14 KWA KAMPUNI YA GDM KUWALIPA WAKULIMA WA KAHAWA RUNGWE
Rungwe
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa KAHAWA wa Wilaya ya Rungwe...