CCM yatangaza majina ya wagombea Ubunge mchakato wavunja rekodi-Makalla

Na Mwandishi wetu, Dodoma BAADA ya kusubiriwa kwa hamu kwa muda mrefu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) hatimaye kimetangaza rasmi majina ya wagombea waliopitishwa kuwania...

Idadi ya wananchama CCM yavuka milioni 13, yafanya mabadiliko ya Katiba kuendana na teknolojia

Na Esther Mnyika, Dodoma Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea jumla ya wanachama wapya 13,000,670 hadi kufikia Mei 29, 2025, ikiwa ni ongezeko kubwa linaloashiria kuendelea...

Dk. Walter achukua fomu kuwania jimbo la Kibamba

Sophia Kingimali, Dar es Salaam KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Walter Nnko, amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Kibamba. Akizungumza na...

BUKOMBE YATEKELEZA ILANI YA CCM KWA KISHINDO

📌 Rais Samia aleta mapinduzi ya maendeleo Geita 📌 Rais Mstaafu Kikwete asema Watanzania wana deni kwa Rais Samia mwezi Oktoba 📌 Wanachama wa CCM waaswa...

Doyo Kuzindua Kampeni za Urais wa NLD Septemba 4

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kuwataarifu wananchi, na wanachama wake, vyombo vya habari kuwa Uzinduzi...

WASSIRA ATEMBELEA KABURI LA BABA WA TAIFA MWL. JULIUS NYERERE BUTIAMA.

Makam Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari...

Dk. Samia: CCM itazindua Ilani mpya ya Uchaguzi kesho

Na Esther Mnyika, Dodoma Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema chama hicho...

WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

*Azungumza na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania Dar es Salaam MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote...

Samia: Tusigwajimanize CCM, vikao vichuje wagombea kwa haki na uadilifu

Na Esther Mnyika, Dodoma MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito mzito...

BALOZI NCHIMBI : ATOA WITO UCHAGUZI MKUU 2025

Ruvuma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo...