NEMC IMETOA SIKU 90 KWA KUWEKA MIUNDOMBINU SAHIHI KWA TAASISI ZOTE NCHINI...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
BARAZA la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa siku 90 kwa kuweka miundombinu sahihi kwa taasisi zote...
MAABARA YA MOI YATUNUKIWA CHETI CHA ITHIBATI CHA UBORA WA KIMATAIFA
Dar es Salaam
MAABARA ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imetunukiwa cheti cha Ithibati cha ubora wa kimataifa cha utoaji...
HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA YA MIFUPA NA UBONGO ZAZINDULIWA KATIKA HOSPITALI CHATO.
Chato
HUDUMA za matibabu ya kibingwa na kibobezi ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili...
WANAFUNZI WA AFYA 25,390 WADAHILIWA KUPUNGUZA UHABA WA WATUMISHI
Dar es Salaam
SERIKALI imeongeza udahili wa wanafunzi wa Taaluma za Afya ngazi ya kati, kutoka wanafunzi 20,030 mwaka 2020 hadi kufikia wanafunzi 25,390...
DK.MPANGO AMEMUAGIZA WAZIRI WA TAMISEMI KUTAMA TIMU WATALAAMU KUCHUNGUZA HOSPITALI
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro
MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
ZAHANATI MPYA 17 ZAENDELEA KUJENGWA KWA KASI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
JUMLA ya zahanati 17 zinaendelea kujengwa kwa kasi ndani ya jimbo la Musoma vijijini ili kutoa huduma za afya
Taarifa iliyotolewa leo septemba...
MARATHON NI MPANGO MKAKATI WA KUJENGA AFYA ZA WATANZANIA – MAJALIWA
Lindi
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema marathon zinazofanyika kila kona nchini ni mpango mkakati wa kuwafanya Watanzania wawe na afya njema na wakae pamoja ili...
DK. MBONEA: JAMII IJITOKEZE KUCHANGIA DAMU KUKIDHI MAHITAJI MKUBWA
Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imetoa wito kwa jamii nchini kujitokeza kuchangia damu ili kukabiliana na uhitaji wa damu uliopo hospitali...
HAKUNA MGONJWA ANAYEBEBWA KWENYE TENGA TUNDURU – MCHENGERWA
Ruvuma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema hakuna mgonjwa anayesafirishwa kwa njia ya...
WATOTO 23 AKIWEMO WA UMRI WA SIKU TATU WAFANYIWA UPASUAJI WA MOYO
Dar es Salaam
WATOTO 23 akiwemo wa umri wa siku tatu wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo katika...