Serikali yazindua mafunzo ya mtandao ya Afya moja(ECHO)

Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam SERIKALI imeanzisha mafunzo kwa njia ya mtandao ya Afya moja (ECHO) ili kuwajengea uwezo watoa huduma wa kada za afya...

Ndoga aiomba serikali kuendelea kuwekeza kwenye matumizi ya dawa asili

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam MKUFUNZI wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kutoka Idara ya Kemia, Dismas Ngoda ameiomba serikali kuendelea kuwekeza kwenye...

Majaliwa atoa wito kwa watoa huduma za afya kuzingatia maadili ya taaluma zao.

 ▪️Asema Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kuboresha huduma za afya Na Mwandishi wetu, Arusha  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa mabaraza ya kitaaluma, Chama...

MOI yatoa matibabu ya kibingwa na kibobezi Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro

Na Abdallah Nassoro- Morogoro TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislam...

Evelin: Mama anayepambana na mwanaye asiye na jinsia katikati ya umasikini

Na Esther Mnyika, Lajiji-Dar es Salaam Katika pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam, ndani ya nyumba ya bati iliyochakaa kwenye mtaa wa Mkamba, kata...

Mhagama: azindua Bodi ya Wadhamini ya MOI

Dodoma WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) na kuitaka bodi hiyo...

Majaliwa: kamilisheni uchunguzi wa wizi wa vifaa vya hospitali

▪️Asema Serikali haitomvumia mtumishi atakayethibitika kuhusika na wizi Mwanza WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa...

Moi yaandika historia yawa ya kwanza Afrika kuendesha mafunzo maalum ya upasuaji wa mishipa...

Dar es Salaam BAADA ya kuandika historia kwa upasuaji wa kutumia akili unde, sasa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeandika...

MOI YANADI HUDUMA ZAKE ZA KIBOBEZI KATIKA WIKI YA AFYA ZANZIBAR

Zanzibar TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10,...

MOI KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA WIKI YA AFYA KITAIFA DODOMA

Dodoma TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki katika Wiki ya Afya kitaifa 2025 inayofanyika jijini Dodoma, ambapo wananchi watapa huduma...