
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji (Rufani), Jacobs Mwambegele akizungumza katika Mkutano wa Tume na Wawakilishi wa Watu wenye Ulemavu, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Julai 31, 2025.

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akiwasilisha mada ya Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, katika Mkutano wa Tume na Wawakilishi wa Watu wenye Ulemavu, uliofanyika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Julai 31, 2025.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji (Rufani), Jacobs Mwambegele (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima, wakati wa Mkutano wa Tume na Wawakilishi wa Watu wenye Ulemavu, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Julai 31, 2025.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji (Rufani), Jacobs Mwambegele (Katikati waliokaa), Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye pia ni Katibu wa INEC, Ramadhani Kailima (wapili kulia waliokaa) na Mjumbe wa INEC, Dk. Zakia Mohamed Abubakar (wapili kushoto waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na Wawakilishi wa Watu wenye Ulemavu, baada ya mkutano na Tume na Wawakilishi hao, kufunguliwa katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Julai 31, 2025.



Wawakilishi wa Watu wenye Ulemavu wakiwa katika Mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na wawakilishi hao, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Julai 31, 2025.