Home KITAIFA Faris nyumbani kwa Askofu Benson Bagonza

Faris nyumbani kwa Askofu Benson Bagonza

Na Mwandishi wetu, Kagera

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani sambamba na viongozi wa UVCCM wilaya ya Karagwe, wamefika nyumbani kwa Baba Askofu Dk. Benson Bagonza, kumpa mkono wa pole kufuatia Misiba mizito ya baba yake mzazi na dada yake mkubwa, iliyotokea mwishoni mwa wiki iliyopita na kupumzishwa katika nyumba zao za milele katika eneo la Nyakahanga wilayani Karagwe.

Dkt. Benson Bagonza ni Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania [KKKT], Dayosisi ya Karagwe.

Bwana alitoa, na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here