Home KITAIFA Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Wizara ya Katiba na Sheria

Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya Wizara ya Katiba na Sheria

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab Katimba (Aliyesimama) Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara pamoja na Taasisi zilizo chini yake mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Januari 21, 2026.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here