Home KITAIFA INEC yatoa mafunzo kwa wazalishaji maudhui mtandaoni kuhusu maandalizi...

INEC yatoa mafunzo kwa wazalishaji maudhui mtandaoni kuhusu maandalizi ya Uchaguzi Mkuu 2025

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele akizungumza katika Mkutano wa Tume na Wazalishaji Maudhui Mtandaoni, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 3, 2025.

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akiwasilisha mada ya Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, katika Mkutano wa Tume na Wazalishaji Maudhui Mtandaoni, uliofanyika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 3, 2025.

Baadhi ya Wazalishaji Maudhui Mtandaoni walioshiriki Mkutano wa Tume na waandishi hao, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 3, 2025.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele (Katikati waliokaa), Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji wa Rufani (Mst),Mbarouk Salim Mbarouk (watatu kushoto), Mkurugenzi wa Uchaguzi ambaye pia ni Katibu wa Tume, Ramadhani Kailima (watatu kulia), Mjumbe wa Tume, Dk. Zakhia Mohamed Abubakar (kushoto), Mjumbe wa Tume,Balozi Omar Ramadhan Mapuri (wapili kushoto), Mjumbe wa Tume, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina A. Omari (wapili kulia) na Mjumbe wa Tume,Magdalena Rwebangira (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mkutano wa Tume na Wazalishaji Maudhui Mtandaoni, kufunguliwa katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 3, 2025.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele akizungumza katika Mkutano wa Tume na Wazalishaji Maudhui Mtandaoni, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 3, 2025.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here