Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tabora ambapo atafungua mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Alli Hassan Mwinyi