Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akitembelea mabanda mbalimbali katika hafla maalum ya Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) inayofanyika leo Mei,26 2024 katika uwanja wa Stendi ya zamani ya Mabasi Mkoani Njombe.