MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA ATOA RAI WAFANYABIASHARA KUFUNGUA MADUKA.
Dar es Salaam
MWENYEKITI waJumuiya ya Wafanyabiashara Soko la Kimataifa la Kariakoo, Martin Mbwana ametoa rai kwa wafanyabiashara kufungua maduka yao na kuendelea kufanyakazi...
RC CHALAMILA WAFANYABIASHARA WALIOFUNGUA MADUKA KARIAKOO WASISHINIKIZWE KUFUNGA
-Asema falsafa ya Dk. Samia ni kutatua migogoro kwa kukaa mezani pamoja
-Asisitiza kamwe migogoro haiwezi kusuluhishwa kwa mashinikizo
Dar es Salaam
MKUU wa Mkoa wa...
TADB WATANZANIA WANAWATEGEMEA KATIKA ELIMU NA MIKOPO – DK. BITEKO
Pwani
NAIBU Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko amesema Watanzania wanawategemea katika uwezeshaji wa elimu na mikopo Banki ya maendeleo ya kilimo nchini TADB kwani...
BENKI YA AKIBA YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WADAU MBALIMBALI
Na Mwandishi wetu,Dodoma
BENKI ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia...
BRELA YATOA ELIMU MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII TANGA.
Na Boniface Gideon,Tanga
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wameendelea na zoezi la kutoa Elimu kwa Wafanyabiashara na Wananchi pamoja na kufanya huduma...
BRELA YATOA ELIMU YA MILIKI UBUNIFU , WIKI YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU.
Na Boniface Gideon -TANGA
WAKALA wa Biashara na Leseni (BRELA) wameendesha zoezi la kutoa Elimu ya alama Miliki Ubunifu Bunifu kwa Wateja na Wadau...
KUKUA KWA TEKNOLOJIA KUTASAIDIA KUONGEZA TIJA NA USHINDANI WA BIASHARA
Na Hughes Dugilo, DaresSalaam.
KUKUA kwa Teknolojia katika Sekta ya TEHAMA na uwepo wa akili mnemba (IA), kutasaidia kuongeza tija na ushindani wa Biashara...
SERIKALI YAPUNGUZA KODI KWENYE VIFAA VYA MAZOEZI TIBA
Na Saidina Msangi, Dodoma.
SERIKALI imesema kuwa msamaha kwenye vifaa tiba vya mazoezi yaani physiotherapy hutolewa kwa hospitali zilizosajiliwa na kuidhinishwa na Waziri wa Afya,...
SEKTA YA UWEKEZAJI NCHINI INAZIDI KUIMARIKA -PROFESA KITILA.
Na Esther Mnyika @Lajiji Digital
WAZIRI wa Ofisi ya Rais Uwekezaji na Mipango Profesa Kitila Mkumbo amesema kwa Sekta ya Uwekezaji nchini inazidi kuimarika...