RAYVAN AZINDUA PROMOSHENI YA ‘KULA SHAVU
Dar es Salaam
MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa, Rayvanny, maarufu kama Chui, ameizindua rasmi promosheni mpya inayojulikana kama “Kula Shavu”,...
WASAFI WAMPA POLE RAIS DK.MWINYI.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi...
MAMA KANUMBA APONGEZA WAANDAJI WA TAMASHA LA FARAJA YA TASNIA
Dar es Salaam
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa amesema tangu mwanaea afariki dunia hajawahi kuangalia filamu ya Kanumba hata moja kwa sababu...
HALIMA KOPWE ATINGA 10 BORA KIPENGELE CHA KAZI MRADI MISS WORLD
Na Mwandishi wetu
MREMBO wa Tanzania, Halima Kopwe ameingia katika kumi bora kwenye kipengele cha ushindani cha 'Beauty with Purpose Project' kwenye shindano la...
RAIS DK.SAMIA AMEPOKEA ZAWADI YA CD ZENYE BAADHI YA FILAMU ZA KOREA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi ya CD zenye baadhi ya Filamu zilizochezwa na Watayarishaji maarufu wa Jamhuri...
TAMASHA LA UTALII LUSHOTO KUIBUA FURSA MPYA ZA AJIRA KWA WANANCHI
Na Ashrack Miraji, Tanga
MKUU wa Wilaya Lushoto, Japhari Kubecha, amesema Tamasha la Utalii Wilayani humo liitwalo USAMBALA TOURISM FESTIVAL linatarajiwa kufanyika mwezi Septemba...
Halima amesema urembo unahitaji uwekezaji kama sekta zingine
Na Mwandishi wetu
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Mrembo wa Dunia(Miss World 2024)Halima Kopwe ameimba serikali kuwekeza kwenye tasnia ya urembo kama inavyofanya...
DC TANGA AKUTANA NA FAMILIA ZA KING MAJUTO, SHABAN ROBERT.
Na Boniface Gideon,TANGA
MKUU wa Wilaya ya Tanga, Raphael Kubecha mwishoni mwa wiki hii amekutana na familia za wanasanaa maarufu nchini King Majuto na Shaban...
HARMONIZE ANATARAJIA KUZINDUA ALBUM YA TANO MEI 25
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MSANII wa mziki bongo fleva Rajab Abdul maarufu kama "Harmonize" Mei 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano ambayo...
KAMPUNI YA HEINKENI INATARAJIA KUZINDUA RASMI JALADA NA CHAPA YA KAMPUNI MPYA MEI 25
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MENEJA Mkazi nchini wa Kampuni ya Heinken , Obabiya Fagade amesema kampuni ya Heinken imefanya ununuzi wa Kampuni ya Distell...