HARMONIZE ANATARAJIA KUZINDUA ALBUM YA TANO MEI 25
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MSANII wa mziki bongo fleva Rajab Abdul maarufu kama "Harmonize" Mei 25,2024 anatarajia kuzindua album yake ya tano ambayo...
RAIS DK. MWINYI AAHIDI KUENDELEZA MATAMASHA YA ASILI ILI KUONGEZA IDADI YA WATALII
Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuyaimarisha matamasha yaliyopo ikiwemo Mwaka Kogwa na...
WASANII WA TANZANIA NA KOREA KUCHEZA FILAMU KWA PAMOJA
Korea
SEKTA ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye viwango vya Kimataifa zitakazovutia...
MAMA KANUMBA APONGEZA WAANDAJI WA TAMASHA LA FARAJA YA TASNIA
Dar es Salaam
MAMA wa marehemu Steven Kanumba, Frola Mtegoa amesema tangu mwanaea afariki dunia hajawahi kuangalia filamu ya Kanumba hata moja kwa sababu...
DC TANGA AKUTANA NA FAMILIA ZA KING MAJUTO, SHABAN ROBERT.
Na Boniface Gideon,TANGA
MKUU wa Wilaya ya Tanga, Raphael Kubecha mwishoni mwa wiki hii amekutana na familia za wanasanaa maarufu nchini King Majuto na Shaban...
KING KIKII WA KITAMBAA CHEUPE AFARIKI DUNIA
Mwanamziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania Bonifance maarufu kwa jina la King Kikii amefariki dunia.
Mwanamziki huyo ambaye ameugua kwa mda mrefu...
KISWAHILI NI FURSA- BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
LUGHA ya Kiswahili ni fursa Watanzania tutumie kukuza uchumi wetu.
Hayo yamesemwa mei, 6 , 2024 na Balozi wa Tanzania nchini Italia...
Zuchu afungiwa miezi sita Visiwani Zanzibar
Na Mwandishi wetu
BARAZA la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, ( BASSFU), limemfungia msanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu kwa jina...
WASANII MBALIMBALI NA WATU MAARUFU NDANI YA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM
Dodoma
WASANII mbalimbali na watu maarufu ni miongoni mwa watu waliohudhuria mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Lengo...
WASANII WA BONGO MOVIE WAJIFUNZA KWA KINA KUHUSU SEKTA YA MADINI
Dar es Salaam,
BAADHI ya Wasanii wa filamu maarufu Bongo Movie wamepata fursa ya kujifunza kwa kina kuhusu sekta ya madini kupitia Maonesho ya 48...












