Uwanja wa black rhimo Karatu ni uwanja bora-Makalla
*Asema ni uwanja utakaotumika na timu za Mataifa mbalimbali kwenye maandalizi ya AFCON 2027
Na Mwandishi wetu, Arusha
MKUU wa mkoa wa Arusha CPA Amos...
Hawa hapa waamuzi watakaoamua Kariakoo Dabi leo
Na Mwandishi Wetu, Lajiji
Joto la Kariakoo Dabi linazidi kupanda kuelekea mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Septemba 16,...
Dk. Biteko ahimiza wanamichezo kuchunguza afya zao
📌 Tasnia ya Burudani na Michezo kwa mwaka 2024/2025 imekuwa kwa asilimia 18
📌 Watumishi 3,353 washiriki SHIMIWI mwaka 2025
📌 Awahimiza washiriki SHIMIWI kusikiliza kampeni...
Tanzania yazoa medali za riadha FEASSA 2025
OR-TAMISEMI, Kenya
TANZANIA imeendelea kung’ara katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Shule za Msingi na Sekondari Afrika Mashariki (FEASSA 2025) baada ya kufanya vizuri...
Taifa Stars kuvuna bilioni moja ikitwaa ubingwa CHAN 2024
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi ya donge nono ya fedha taslimu shilingi bilioni moja iwapo...
Tanzania Yatangaza Utayari wa Kuandaa Mashindano ya CHAN 2025
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
KATIBU Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi, amesema kuwa Tanzania ipo...
Kila sekta ijiandae kupokea wageni kuelekea chan-iDk.Yonazi
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Dk. Jim Yonazi amezitaka sekta zote kujianda...
Wachezaji zaidi ya 150 waliamsha Lina PG Tour, Lugalo
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MASHINDANO ya Gofu kwa ajili ya kumuenzi mchezaji wa zamanı wa timu ya taifa ya wanawake ya gofu, marehemu...
Rais Dk.Mwinyi azaiwadia milioni 100 klabu ya Yanga
Na Mwandishi wetu,Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100,...
Simba SC Yakwepa Mkutano wa Pre-Match, Bodi ya Ligi yatoa tamko
Na Mwandishi Wetu, Lajiji
Klabu ya Simba haikuhudhuria mkutano wa kabla ya mchezo (Pre-Match Conference) uliopangwa kufanyika leo Juni 24, 2025 saa 5:30 asubuhi, jijini...