WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027
📌Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa
📌Rais Samia kinara wa Michezo nchini
Dar es Salaam
WATANZANIA watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano...
RAIS DK. MWINYI AIPA SHILINGI MILIONI 50 ZANZIBAR HEROES
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes shilingi milioni 50...
DK.MWINYI : ZANZIBAR KUZALISHA VIPAJI VYA VIJANA WENYE UWEZO WA KUCHEZA NJE YA NCHI
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema umefika wakati kwa Zanzibar kuzalisha vipaji vya vijana watakaokuwa...
HAKIKISHENI MABONDIA WANANUFAIKA NA VIPAJI VYAO-MAJALIWA
Rais Dk. Samia apiga simu, awataka mabondia Watanzania kuibeba bendera ya Tanzania kwenye tukio hilo
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya...
MAJALIWA AHITIMISHA JIMBO CUP RUANGWA.
Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo.
Lindi
WAZIRI Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo...
VYUO VIKUU DAR VYATAMBULISHA TAMASHA LA UNIFEST 255
Dar es Salaam
TAASISI ya Elimu ya Juu na Vyuo na Vyuo Vikuu Tanzania (TAHLISO), imeandaa tamasha la burudani ya muziki na komedi kwa...
TIMU YA MWIGOBERO YAPOTEZA MCHEZO WA PILI MASHINDANO YA MATHAYO CUP 2024 MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Mwigobero fc imepoteza mchezo wake wa pili kwenye mashindano ya Mathayo Cup 2024 yanayoendelea kutimua vumbi mjini Musoma.
Kipigo hicho cha...
KIVUMBI MATHAYO CUP 2024 KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO UWANJA WA POSTA MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MASHINDANO ya kombe la Mathayo Cup 2024 yanaanza kutimua vumbi kesho novemba 3 kwenye ueanja wa Posta manispaa ya Musoma.
Mathayo Cup yamekuwa...
CHAN 2025 NA AFCON 2027 MAANDALIZI YAPAMBA MOTO
Dar es Salaam
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amefanya ziara ya kukagua miundombinu ya michezo katika uwanja wa Shule kuu...
TUSOMANE VITUONI NOVEMBA 27
Ni maneno yanayosomeka kwenye mabango yanayotumiwa na mashabiki mbalimbali wa Simba na Yanga (Watoto wa Mama) kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa...