MABINGWA WA MASHINDANO YA GOFU YA LINA PG TOUR WATEMBELEA KABURI LA MLEZI WA...

Kilimanjaro MABINGWA wa mashindano ya gofu ya Lina PG Tour wametembelea kaburi la mlezi wa maendeleo ya gofu ya wanawake nchini, marehemu Lina Nkya...

MSHIKAMANO FC YATINGA FAINALI POLISI JAMII CUP 2024 MUSOMA

Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Mshikamano fc imetinga fainali ya michuano ya Polisi Jamii Cup 2024 Musoma kwa kuifunga timu ya Kigera fc kwa changamoto...

RAIS MWINYI: SMZ KUJENGA UWANJA MPYA WENYE VIWANGO VYA FIFA

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inajipanga kujenga uwanja mkubwa wa...

MASHINDANO KNK CUP 2024 YAHITIMISHWA, MABINGWA WA BUKOMBE, KARAGWE KUCHUANA

📌 Mshindi wa Kwanza anyakua kitita cha milioni 5 📌 Simba, Yanga Wateka Vijana wenye Vipaji Geita MASHINDANO ya KNK CUP 2024 yaliyoandaliwa na Naibu...

LAKE VICTORIA FC YASHEREHEKEA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI KWA USHINDI MASHINDANO YA...

Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Lake Victoria imesherehekea miaka 60 ya jeshi la polisi kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Kamnyonge kwenye...

WAZIRI DK. GWAJIMA AZINDUA MATAWI YA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA TARIME KUHAMASISHA KUPAMBANA...

Mara WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima amezindua matawi ya mashabiki wa timu za Mpira wa miguu za...

WAFANYAKAZI WA TANESCO PWANI WAFANYA BONANZA LA MICHEZO LA KUPONGEZANA KWA KAZI

Pwani WAFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Pwani wamefanya bonanza la michezo mbalimbali ikiwa ni kwa lengo la kupongezana kwa kazi,...

WATUMISHI HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE MABINGWA BONANZA LA KUJENGA AFYA

Na Shomari Binda-Musoma WATUMISHI wa hospitali ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wameibuka washindi wa jumla wa bonanza la kujenga afya. Bonanza hilo limefanyika leo agosti 31...

KAMATI YA MAANDALIZI AFCON 2027 YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Dar es Salaam KAMATI ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024...

MBUNGE MATHAYO AKABIDHI NG’OMBE,MIPIRA NA FEDHA MASHINDANO POLISI JAMII CUP MUSOMA

Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo leo agosti 15 amekabidhi ng'ombe, mipira 16 na fedha kiasi cha shilingi laki 2 kwaajili ya...