DK.MWINYI : ZANZIBAR KUZALISHA VIPAJI VYA VIJANA WENYE UWEZO WA KUCHEZA NJE YA NCHI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema umefika wakati kwa Zanzibar kuzalisha vipaji vya vijana watakaokuwa...

HAKIKISHENI MABONDIA WANANUFAIKA NA VIPAJI VYAO-MAJALIWA

Rais Dk. Samia apiga simu, awataka mabondia Watanzania kuibeba bendera ya Tanzania kwenye tukio hilo Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya...

MAJALIWA AHITIMISHA JIMBO CUP RUANGWA.

Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo. Lindi WAZIRI Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo...

VYUO VIKUU DAR VYATAMBULISHA TAMASHA LA UNIFEST 255

Dar es Salaam TAASISI ya Elimu ya Juu na Vyuo na Vyuo Vikuu Tanzania (TAHLISO), imeandaa tamasha la burudani ya muziki na komedi kwa...

TIMU YA MWIGOBERO YAPOTEZA MCHEZO WA PILI MASHINDANO YA MATHAYO CUP 2024 MUSOMA

Na Shomari Binda-Musoma TIMU ya Mwigobero fc imepoteza mchezo wake wa pili kwenye mashindano ya Mathayo Cup 2024 yanayoendelea kutimua vumbi mjini Musoma. Kipigo hicho cha...

KIVUMBI MATHAYO CUP 2024 KUANZA KUTIMUA VUMBI KESHO UWANJA WA POSTA MUSOMA

Na Shomari Binda-Musoma MASHINDANO ya kombe la Mathayo Cup 2024 yanaanza kutimua vumbi kesho novemba 3 kwenye ueanja wa Posta manispaa ya Musoma. Mathayo Cup yamekuwa...

CHAN 2025 NA AFCON 2027 MAANDALIZI YAPAMBA MOTO

Dar es Salaam WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amefanya ziara ya kukagua miundombinu ya michezo katika uwanja wa Shule kuu...

TUSOMANE VITUONI NOVEMBA 27

Ni maneno yanayosomeka kwenye mabango yanayotumiwa na mashabiki mbalimbali wa Simba na Yanga (Watoto wa Mama) kupata picha za ukumbusho nje ya Uwanja wa...

DK. BITEKO AUNGANA NA WANABUKOMBE KWENYE MBIO FUPI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk.Doto Biteko leo Oktoba 10, 2024 ameungana na wananchi wa Bukombe kwenye mazoezi ya kukimbia mbio fupi...

MAJALIWA: RAIS DK. SAMIA ANAMATUMAINI MAKUBWA NA TAIFA STARS

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa...