MAJALIWA: MIUNDOMBINU YA MICHEZO KUENDELEA KUBORESHWA
Tabora
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo katika shule teule 56 nchini.
Amesema hadi kufikia Machi 2024...
UFUNGUZI WA MASHINDANO YA UMITASHUMTA NA UMISSETA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tabora ambapo atafungua mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA)...
JAMII YAKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUSHIRIKI KUFANYA MAZOEZI KUEPUKA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA
Na Shomari Binda-Musoma
JAMII imeshauriwa kufanya mazoezi ili kuweza kuepukana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa club ya mazoezi ya Musoma...
MAJALIWA MICHEZO NI NYENZO MUHIMU INAYODUMISHA AMANI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ushirikiano katika michezo ni nyenzo muhimu katika kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika...
TUZO ZA WANAMICHEZO KUTOLEWA JUNI 09/2024 WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUDHAMINI TUKIO HILO MUHIMU.
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
TUZO za Wanamichezo bora zinatarajiwa kutolewa June 9 Mwaka huu Jijini Dar es salaam katika Ukumbi maarufu wa The Super...
MICHEZO NI AFYA, NI FURSA YA AJIRA – MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Mbeya
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema michezo ni zaidi ya afya na burudani, ni fursa ya ajira na pia hupunguza magonjwa...
DK. NDUMBARO AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMUSTA.
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Maafisa Utamaduni...
RAIS DK.MWINYI AWAKABIDHI SIMBA UBINGWA WA MUUNGANO
Na Mwandishi wetu,Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni...
TANZANIA NA IVORY COAST ZAINGIA RASMI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MICHEZO
Na, Brown Jonas WUSM, Dar es Salaam.
WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Michezo ya Ivory coast...
Dk.NDUMBARO AMKARIBISHA WAZIRI WA MICHEZO IVORY COAST KWENYE DERBY YA KARIAKOO KUMUONA PACOME
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast,...