KAMATI YA MAANDALIZI AFCON 2027 YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM
Dar es Salaam
KAMATI ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024...
MBUNGE MATHAYO AKABIDHI NG’OMBE,MIPIRA NA FEDHA MASHINDANO POLISI JAMII CUP MUSOMA
Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo leo agosti 15 amekabidhi ng'ombe, mipira 16 na fedha kiasi cha shilingi laki 2 kwaajili ya...
YANGA TAWI LA MUSOMA WACHANGIA DAMU NA KUTOA MSAADA HOSPITAL MANSPAA YA MUSOMA
Na Shomari Binda, Musoma
WANACHAMA na mashabiki wa timu ya Yanga kwa kushirikiana na benki ya NBC tawi la Musoma wamechangia damu na kutoa msaada...
BONANZA LA WIZARA YA NISHATI LAPAMBA MOTO DODOMA
Dodoma
Leo 27 Julai 2024, Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake wameshiriki katika michezo mbalimbali katika Bonanza la Nishati...
WAZIRI MKUU AZINDUA MITAMBO YA KISASA YA KURUSHIA MATANGAZO
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya...
SHINDANO LA “VODACOM LUGALO OPEN 2024” LAANZA VYEMA
Dar es Salaam
SHINDANO la Wazi la Mchezo wa Gofu "Vodacom Lugalo Open 2024"limeanza rasmi leo kwa Wachezaji wa Ridhaa na wa Kulipwa katika...
WAZIRI MKUU AZINDUA KAMATI YA KITAIFA AFCON 2027
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu,Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027)...
HAKIMI ATOA MISAADA YA ZAIDI YA BILIONI MOJA KWA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM
Na John Mapepele
MCHEZAJI wa kimataifa wa soka kutoka Morocco anayechezea timu ya PSG, Archraf Hakimi leo ametoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa wanafunzi zaidi...
MICHUANO YA SHIMIWI KUFANYIKA SEPTEMBA 2024
Dodoma
MAANDALIZI ya michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) yameanza ambapo Kamati ya Utendaji imependekeza michuano hiyo kufanyika...
MUHIMBILI YAJIDHATITI KWA UCHUNGUZI NA MATIBABU AFCON
Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila) imejiandaa kikamilifu katika kutoa huduma za uchunguzi na matibabu kwa wachezaji watakaoshiriki mashindano ya...












