TANZANIA KUANZA MATUMIZI YA VAR KATIKA LIGI KUU BARA.

Na Mwandishi wetu RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema vifaa vya kiteknolojia kwa ajili ya kuwasaidia waamuzi yani "Video...

SIMBA SC YAWATUNGUA MBILI BILA MASHUJAA.

Na Mwandishi wetu SIMBA Sc imefanikiwa kuzitwaa point tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu kati yao na Timu ya Mashujaa toka kigoma mzunguko wa...

SIMBA INAKIBARUA KIZITO KISAKA POINT TATU DHIDI YA MASHUJAA LEO.

Na Mwandishi wetu SIMBA leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam...

Rais Dk.Samia aipongeza simba

Hongereni sana Klabu ya Simba kwa kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mafanikio yenu si tu furaha na fahari...

Rais Dk.Samia aipongeza yanga kufuzu robo fainali

Naipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), na kufanikiwa kufuzu...