TANZANIA NA IVORY COAST ZAINGIA RASMI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MICHEZO
Na, Brown Jonas WUSM, Dar es Salaam.
WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeingia makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Michezo ya Ivory coast...
Dk.NDUMBARO AMKARIBISHA WAZIRI WA MICHEZO IVORY COAST KWENYE DERBY YA KARIAKOO KUMUONA PACOME
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast,...
DK. NDUGULILE ATOA MAAGIZO KWA AFISA MICHEZO KIGAMBONI VIWANJA VYA MICHEZO VYOTE KUENDELEZWA
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MBUNGE wa Kigamboni Dk.Faustine Ndugulile amekipongeza Chama cha Mpira wa miguu Kigamboni (KDFA) kwa kuandaa mashindano mazuri ya veterans.
Apongeza...
FIFA YAIFUNGUIA YANGA KUFANYA USAJILI,TFF NAYO YASHINDILIA MSUMARI.
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
KLABU ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa...
QWIHAYA MGENI RASMI FAINALI YA RAMADHANI CUP 2024.
Na Mwandishi wetu, Mwanza
MJUMBE wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) wa CCM, Leonard Qwihaya alikuwa Mgeni Rasmi katika Fainali ya Ramadhani cup...
RAIS DK.SAMIA AMKABIDHI KARIA MFANO WA HUNDI MILIONI 500.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia mfano wa...
WACHEZAJI BIASHARA UNITED KUMPA ZAWADI RC MTANDA YA KWENDA LIGI KUU
Na Shomari Binda, Musoma
WACHEZAJI wa timu ya Biashara United wamesema zawadi pekee kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Said Mtanda ni kupanda...
YANGA SC YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA MAMELODI SUNDOWNS, YATOKA SARE 0-0
Na Mwandishi wetu, @Lajiji Digital
KLABU ya Yanga imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kulazimishwa sare na Mamelodi Sundowns 0-0.
Katika...
WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI BONANZA LA PASAKA JIJINI DODOMA
Na Chedaiwe Msuya na Asia Singano, Dodoma
WIZARA ya Fedha pamoja na Taasisi zake, Tanzania Bara na Ofisi ya Rais Fedha na Mipango zanzibar...
DK. TULIA AWAJULIA HALI MAJERUHI MASHABIKI WA SIMBA
Na Mwandishi wetu, Chalinze
RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson,...












