Mikopo ya Kijani Kutoka CRDB kusaidia wananchi kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
BENKI ya CRDB imetenga kiasi cha shilingi bilioni 171.83 zilizopatikana kupitia mauzo ya hatifungani za kijani (green bond)...
Mziray: Benki ya NCBA imelenga kusaidia jamii
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya NCBA, Alex Mziray, amesema benki hiyo imelenga kuisaidia jamii kuwa na uamuzi...
Majaliwa aipongeza DSE kuongezeka kwa thamani kwa soko hilo
Ni baada ya kuongeza thamani na kufikia shilingi trilioni 21, Julai 2025
Pamoja na kuongeza ukuaji wa hisa kwa zaidi ya asilimia 246
Asema hatua hiyo...
Rais Dk.Samia aipongeza TADB kwa utendaji mzuri
Na Esther Mnyika, Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania ( TADB) Kwa utendaji mzuri ulioleta tija kwa...
Waziri Mkuya azipongeza DIB, BoT kushughulikia ufilisi wa FBME
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Saada Mkuya Salum, amezipongeza...
Dk. Mpango aipongeza BoT kwa kutengeneza Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS)
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango ameipongeza Benki Kuu ya Tanzania (BoT) pamoja na wataalamu wake waliotengeneza Mfumo Mkuu...
Rais Dk.Samia anatarajia kuzindua Kituo cha Biashara Ubungo
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Nchini(TISEZA), Gilead Teri amesema Rais Dk.Samia Suluhu...
TCB yaahidi kuunga mkono Dira ya Maendeleo ya 2050 kwa kuimarisha huduma za...
Na Mwandishi wetu, Dodoma
Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika hafla iliyofanyika leo Julai,172025 jijini Dodoma,...
Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara -Majaliwa
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha...
Riba ya Benki Kuu yapungua kutoka asilimia 6 hada 5.75
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
KAMATI ya Sera ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeamua kushusha kiwango cha riba ya benki hiyo katika robo ya...