TCB KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUJENGA UCHUMI IMARA
Dar es Salaam
BENKI ya Biashara ya Tanzania ( TCB) imesema dhamira yake ni kushirikiana na Serikali katika kujenga uchumi imara na kuimarisha uchumi...
RAIS DK. MWINYI: UCHUMI WA ZANZIBAR UMEKUA KWA ASILIMIA 7
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Uchumi wa Zanzibar Umeendelea kukua kila Mwaka ambapo sasa umefikia...
GAVANA TUTUBA: UCHUMI WA TANZANIA UNAENDELEA KUIMARIKA
Dar es Salaam
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amesema kuwa,hali ya uchumi wa Tanzania imeendelea kuimarika na kuwa himilivu.
Gavana Tutuba...
MSIGWA :BANDARI YA KWALA INAHUDUMIA KONTENA 300000 KWA MWAKA
Pwani
BANDARI Kavu ya Kwala inahudumia kontena 823 kwa siku na kwa mwaka 300000 zikiwemo zinazokwenda nchi jirani ikiwa ni sawa na asilimia 30...
BoT IMEFANIKIWA KUNUNUA DHAHABU ZAIDI YA TANI MBILI
Na Esther Mnyika, Mtwara
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema Mpango wa Ununuzi wa Dhahabu nchini haina nia ya kuvuruga soko la dhahabu nchini hivyo...
Majaliwa aipongeza DSE kuongezeka kwa thamani kwa soko hilo
Ni baada ya kuongeza thamani na kufikia shilingi trilioni 21, Julai 2025
Pamoja na kuongeza ukuaji wa hisa kwa zaidi ya asilimia 246
Asema hatua hiyo...
GAVANA TUTUBA: Taasisi ambayo haitajisajili TAMFI AU TAMIU kufutwa Disemba
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekuja na mbinu ya kudhibiti mikopo umiza kwa Watanzania kwa kuzitaka taasisi zote...
BoT YATOA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI
Dar es Salaam
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) Machi 24,2025 imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari.
Taarifa hiyo, iliyochapishwa...
Dk. Mwinyi aahidi ajira zaidi ya 350,000 kwa vijana Zanzibar
Na Esther Mnyika, Lajiji- Zanzibar
Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuendeleza zaidi miradi...
TUTAENDELEA KUDHIBITI UHALIFU WA KIFEDHA-MAJALIWA
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itaendelea kushiriki na kutimiza matakwa ya kimataifa katika kupambana na kudhibiti uhalifu wa kifedha.
Amesema...