SHILINGI TRILIONI 1.4 KUTUMIKA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MALARIA, UKIMWI NA KIFUA KIKUU
Na Mwandishi wetu, Dodoma
SERIKALI ya Tanzania imepokea jumla ya dola za kimarekani milioni 602 sawa na trilioni 1.4 za kitanzania kwa ajili ya...
KUOZA MENO, MAPENGO NI TATIZO KUBWA LA AFYA YA KINYWA NA MENO MKOANI PWANI...
Na Scolastica Msewa, Kibaha
WANANCHIi zaidi ya 6000 wamejitokeza kupata huduma ya afya ya kinywa na meno mkoani Pwani Katika kipindi cha wiki Moja ikiwa...
WAZIRI UMMY AFUNGUKA MIAKA MITATU YA RAIS DK.SAMIA
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan sekta ya afya imeendelea kuwa imara na kusonga mbele...
WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA FIGO KWA KUJIEPUSHA NA UNYWAJI POMBE KUPITA KIASI NA MATUMIZI YA...
Na Shomari Binda, Musoma
SERIKALI imetoa ushauri kwa wananchi kutunza figo kwa kujieusha na matumizi ya unywaji pombe kupita kiasi na uvutaji wa tumbaku.
Kauli hiyo...
Halmashauri 112 kati ya 119 nchini hazina maambukizi mapya ya Matende na Mabusha
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema nchi imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha inatokomeza magonjwa ya matende na Busha kwa kuokoa watu milioni...
Kampuni ya Vertex Group Kuunga mkono juhudi za Rais Dk.samia kwa kutangaza Tiba...
Na Mwandishi wetu
KAMPUNI ya Vertex Group Experts imesema inamuunga mkono juhudi za Rais Dk.samia Suluhu Hassan kwa kutangaza nchi za jirani na Afrika katikaTiba...