WAUGUZI IDARA YA CHUMBA CHA UPASUAJI MOI, MNH, AGAKHAN NA TEMEKE WANOLEWA
Dar es Salaam
WAUGUZI wa Idara ya chumba cha upasuaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Hospitali ya Taifa...
MOI YAWAHIMIZA WAGONJWA NA NDUGU WA WAGONJWA KUDAI RISITI BAADA YA KUFANYA MALIPO
Dar es Salaam
WAGONJWA na ndugu wa wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamehimizwa...
HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA YA MIFUPA NA UBONGO ZAZINDULIWA KATIKA HOSPITALI CHATO.
Chato
HUDUMA za matibabu ya kibingwa na kibobezi ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili...
SERIKALI KUSHIRIKISHA WADAU MPANGO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE-MAJALIWA
Arusha
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Washirika wa Maendeleo kushikiriana na Serikali katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa...
TIRA YACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 20 KUBORESHA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA
Dar es Salaam
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima (TIRA) imeshiriki kwenye halfa ya Harambee iliyopewa jina la 'Rafiki wa Amana Dinner Gala 2024' iliyofanyika...
MUHIMBILI NA RAFIKI SURGICAL MISSION WAANZA KAMBI YA UPASUAJI REKEBISHI
Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) leo Oktoba,21 2024 imeanza rasmi kambi maalum ya upasuaji rekebishi ambayo itahitimishwa Novemba, 1 mwaka huu...
RAIS SAMIA APONGEZWA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA AFYA
π Serikali Yawapongeza Wanaradiografia kwa Mchango wao kwa Jamii
π Uwekezaji katika Sekta ya Afya Waokoa Fedha
π Tanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET...
WAZIRI MKUU : LISHE BORA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI
Mwanza
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa suala ya lishe ni kipaumbele muhimu kwa Serikali katika kuwezesha utekelezaji wa mipango ya maendeleo na shughuli za...
MOI YAJIPANGA KUTOA HUDUMA KWA WAGONJWA 1,500 KWA SIKU
Dar es Salaam
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesema kukamilika kwa miradi mikubwa mitatu ya Ujenzi wa jengo jipya ya...
WATAALAMU WA MAABARA TOENI MAJIBU SAHIHI KUWASAIDIA WATANZANIA – DK. BITEKO
π Serikali Yafanya Mageuzi Makubwa Sekta ya Afya Nchini
π Wataalam wa Maabara za Binadamu Wasisitizwa Kulinda Taaluma Yao
πTanzania ya Tatu Barani Afrika kwa Huduma...