Dk. Biteko awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi
Uganda yawasilisha muswada kuipa mahakama ya kijeshi mamlaka juu ya raia
Na Mwandishi Wetu, Lajiji
Serikali ya Uganda imewasilisha rasmi bungeni muswada wa marekebisho ya sheria ya jeshi wa mwaka 2025, unaolenga kuirejeshea mahakama ya kijeshi...
Waziri Mkuu ashiriki ufunguzi wa Jukwaa la maafisa watendaji wakuu Afrika 2025
RAIS MWINYI:ZANZIBAR INA SERA BORA KWA UWEKEZAJI.
Uingereza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa ya maendeleo kipindi cha miaka 4...
RAIS MWINYI: TUZINDUE MPANGO WA UJUZI KWA VIJANA KATIKA UCHUMI WA BULUU.
Uingereza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni muhimu kuzinduliwe mpango wa ujuzi wa Vijana wa Jumuiya...
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KULETA MAGEUZI SEKTA YA MADINI NCHINI
Seoul, Korea Kusini
NAIBU Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa amesema kuwa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji na matumizi ya Madini Muhimu duniani, Tanzania ina...