Dk. Biteko ateta na Spika wa Bunge Morocco

πŸ“Œ Tanzania, Morocco wakubaliana kuimarisha ushirikiano Morocco NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya...

Tanzania, Morocco kuongeza ushirikiano sekta ya nishati

πŸ“Œ Matumizi ya teknolojia kupewa kipaumbele Sekta ya Nishati πŸ“Œ Morocco wampongeza Rais Samia kwa usimamizi bora Sekta ya Nishati Morocco Serikali ya Tanzania na Ufalme...

Dk. Biteko awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi

πŸ“ŒUshirikiano Tanzania, Morocco kuimarishwa Morocco NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi inayolenga kukuza na...

Uganda yawasilisha muswada kuipa mahakama ya kijeshi mamlaka juu ya raia

Na Mwandishi Wetu, Lajiji Serikali ya Uganda imewasilisha rasmi bungeni muswada wa marekebisho ya sheria ya jeshi wa mwaka 2025, unaolenga kuirejeshea mahakama ya kijeshi...

Waziri Mkuu ashiriki ufunguzi wa Jukwaa la maafisa watendaji wakuu Afrika 2025

β–ͺ️Rais Ouattara asisitiza uongezaji thamani wa mazao Ivory Coast WAZIRI Mkuu,Kassim Majaliwa ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu barani Afrika...

RAIS MWINYI:ZANZIBAR INA SERA BORA KWA UWEKEZAJI.

Uingereza RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa ya maendeleo kipindi cha miaka 4...

RAIS MWINYI: TUZINDUE MPANGO WA UJUZI KWA VIJANA KATIKA UCHUMI WA BULUU.

Uingereza RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni muhimu kuzinduliwe mpango wa ujuzi wa Vijana wa Jumuiya...

USHIRIKIANO WA TANZANIA NA KOREA KULETA MAGEUZI SEKTA YA MADINI NCHINI

Seoul, Korea Kusini NAIBU Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa amesema kuwa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji na matumizi ya Madini Muhimu duniani, Tanzania ina...

SEforALL KUIMARISHA USHIRIKIANO UPATIKANAJI NISHATI ENDELEVU

πŸ“Œ Dk. Biteko asema Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda endelevu πŸ“Œ Rais wa Sierra Leone asema ukombozi wa maeneo ya vijijini ni muhimu kufikia...

SERIKALI YAJIDHATITI KUBORESHA SEKTA YA KILIMO – DKT BITEKO

πŸ“Œ Anadi soko la mazao jamii ya mikunde India πŸ“Œ Mnada mazao ya kunde mtandaoni waboresha biashara ya kimataifa πŸ“Œ Biashara kati ya Tanzania na India...