Dk. Mpango : ahutubia mkutano wa bahari wa Umoja wa Mataifa atoa wito kwa...
Ufaransa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Mataifa kuhakikisha kunakuwa na hatua za pamoja, mshikamano...
Majaliwa: Serikali itaendeleza mikakati ya kuwaunganisha Wafanyabiashara
Japan
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea na mikakati ya kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wa Mataifa mbalimbali duniani ikiwemo Japan ili kuwawezesha...
Waziri Mkuu anadi vivutio vya utalii na uwekezaji
▪️Ni katika siku ya Tanzania kwenye maonesho ya Osaka World EXPO 2025
▪️Asema mauazo ya bidhaa za Tanzania Japan yafikia sh bilioni 37
▪️Asisitiza Tanzania ni...
GST na BGS ya Uingereza zasaini hati ya makubaliano utafiti wa madini
London
TAASISI ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) na Taasisi ya Jiolojia ya Uingereza (BGS) zimesaini makubaliano ya ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo...
Dk. Biteko ateta na Spika wa Bunge Morocco
📌 Tanzania, Morocco wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Morocco
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya...
Tanzania, Morocco kuongeza ushirikiano sekta ya nishati
📌 Matumizi ya teknolojia kupewa kipaumbele Sekta ya Nishati
📌 Morocco wampongeza Rais Samia kwa usimamizi bora Sekta ya Nishati
Morocco
Serikali ya Tanzania na Ufalme...
Dk. Biteko awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi
📌Ushirikiano Tanzania, Morocco kuimarishwa
Morocco
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi inayolenga kukuza na...
Uganda yawasilisha muswada kuipa mahakama ya kijeshi mamlaka juu ya raia
Na Mwandishi Wetu, Lajiji
Serikali ya Uganda imewasilisha rasmi bungeni muswada wa marekebisho ya sheria ya jeshi wa mwaka 2025, unaolenga kuirejeshea mahakama ya kijeshi...
Waziri Mkuu ashiriki ufunguzi wa Jukwaa la maafisa watendaji wakuu Afrika 2025
▪️Rais Ouattara asisitiza uongezaji thamani wa mazao
Ivory Coast
WAZIRI Mkuu,Kassim Majaliwa ameshiriki ufunguzi wa Mkutano wa siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu barani Afrika...
RAIS MWINYI:ZANZIBAR INA SERA BORA KWA UWEKEZAJI.
Uingereza
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa ya maendeleo kipindi cha miaka 4...