WAZIRI MKUU ATETA NA MWENYEKITI WA BODI YA CITIBANK
Yaahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania
Marekani WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imekuwa inafanya kazi na benki ya Citibank ya Marekani kwa zaidi ya miaka...
WAZIRI MKUU AUNGANA NA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI UFUNGUZI WA MKUTANO WA UNGA...
Marekani
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 24, 2024 ameungana na wakuu wa nchi na Serikali katika ufunguzi wa Mkutano wa 79 wa Baraza...
MATAIFA MADOGO YAUNGWE MKONO KIUCHUMI-MAJALIWA
*Apigia chapuo hifadhi ya mazingira, upatikanaji wa fedha na uhamishaji wa teknolojia
Marekani
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Umoja wa Mataifa hauna budi kuyaunga mkono...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MKUTANO WA ‘SUMMIT OF THE FUTURE’.
Marekani
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 22, 2024 akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali...
KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA, MAJALIWA WATETA
Aipongeza Tanzania kwa kuwa kinara wa amani Barani Afrika
Marekani
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutierres kwenye...
WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI MAREKANI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania Mjini New York, nchini Marekani na Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Hussein...
KATIBU MKUU WIZARA KILIMO ASHIRIKI MKUTANO WA 138 WA BARAZA LA KAHAWA DUNIANI
Uingereza
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli ameshiriki katika Mkutano wa 138 wa Baraza la Kahawa Duniani (International Coffee Council) unaofanyika...
DK. TULIA ASISITIZA UMUHIMU WA USALAMA DUNIANI NA MAENDELEO YA PAMOJA
Italia
RAIS wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema kuwa upo...
RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA N WAWEKEZAJI WA CHINA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy...
DK. BITEKO ATOA SOMO UZALISHAJI, MATUMIZI YA NISHATI AFRIKA•
*Asisitiza ushirikiano miongoni mwa nchi za Afrika
*Asema ubunifu na uvumbuzi utawezesha matumzi ya rasilimali
*Ahimiza nchi za Afrika kunadi agenda ya Nishati safi
Namibia
NAIBU...