RAIS DK.SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA TISA WA FOCAC
LEO Septemba, 5 2024, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amehutubia mkutano wa tisa wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing.
Katika...
DK. BITEKO AMWAKILISHA RAIS DK. SAMIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA HYDROGEN NCHINI NAMIBIA
๐ Afanya mazungumzo na Makamu wa Rais, Namibia, Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah
๐ Nishati safi yapigiwa chapuo kimataifa kwa maendeleo na ustawi wa jamii
๐ Namibia hasisitiza...
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS XI JINPING WA CHINA.ย
CHina
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mkutanoย na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na ujumbe wake mapema...
RAIS DK.SAMIA AWASILI NCHINI CHINA KUSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa...
TANZANIA IPO TAYARI KWA UWEKEZAJI UTAKAOONGEZA THAMANI YA MADINI NDANI YA NCHI
Indonesia
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati...
TANZANIA YAJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA NYUKLIA KUZALISHA UMEME
๐ Dk. Biteko atangaza msimamo katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia
๐ Asema mashapo 58,500 ya urani kutumika kama chanzo cha uzalishaji
๐ Marekani...
DK.BITEKO AWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA YA KIKAZI
Kenya
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo amewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Pili wa Masuala...
RAIS DK.SAMIA AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA MKUTANO WA 44 WA WAKUU WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC- ORGAN TROIKA SUMMIT
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo...