Wanafunzi Milioni 1.17 wanatarajia kufanya mtihani wa darasa la  saba kesho 

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam  JUMLA ya Wanafunzi 1,172,279 wa darasa la saba waliopo katika shule za msingi Tanzania Bara  jumla ya shule 19,441 ...

TANESCO yanunua vitendea kazi kuboresha huduma kwa wateja

Na Esther Mnyika, Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Nchini (TANESCO) limenunua vitendea kazi  vya usafiri magari 100,  bajaji 100, na pikipiki 284 ikiwa ...

Doyo: Nitafungua Masoko ya Nje kwa Wakulima wa Lushoto

Na Mwandishi Wetu, Tanga MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NLD, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Hassan...

TBS yaanza utekelezaji wa kanuni ya uongezaji virutubishi kwenye vyakula ya mwaka 2024

Na Florah Amon,Dar es Salaam SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeanza utekelezaji kwa kanuni mpya za mwaka 2024 zinazolenga kuongeza virutubisho katika vyakula vinavyotumiwa kwa...

Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Tanzania nchini Japan

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Japan Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje...

INEC yazitaka taasisi na asasi kutoa elimu ya mpiga kura kwa weledi

Na. Mwandishi Wetu, Dodoma TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga...

Wateja wakubwa wa hotel Morogoro wakamatwa kwa wizi wa umeme

📍Ni katika operesheni maalum ya ukaguzi inayofanywa na TANESCO Nchi nzima 📍TANESCO yasisitiza zoezi ni endelevu na kutangaza kiama kwa waolihujumu Shirika Na Mwandishi wetu, Morogoro...

Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani na uzalendo-Majaliwa

Na Mwandishi wetu, Tanga WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani, uzalendo na maadili mema ambayo yameasisiwa na...

Dk.Biteko amwakilisha Rais Dk.Samia mazishi ya Hayati Askofu Shao

📌 Awataka Watanzania kuacha alama katika utumishi wao 📌 Asema Serikali iko pamoja na wafiwa katika kipindi hiki cha majonzi 📌 Askofu Malasusa ataka waumini kumshuhudia...

Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Kimataifa la wafugaji wa nguruwe

Na Florah Amon, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano kubwa...