Huyu ndiye Dk.Mwigulu Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania
Na Esther Mnyika, Dodoma
RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa...
Elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kuokoa maisha zaidi ya elfu...
📌Wizara ya Nishati yasema elimu kwa maafisa dawati italeta mapinduzi ya kiafya na kimazingira
📌Mikoa ya Kanda ya Kati na Kaskazini wanufaika na elimu
📌Maafisa Dawati...
Shigela Aagiza Viongozi wa Mitaa Kudhibiti Uvamizi wa Maeneo ya Shule
Na Mwandishi wetu, Geita
MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amewataka viongozi wa serikali za mtaa kushirikiana na halmashauri kufuatilia kwa ukaribu na...
Makalla akutana na viongozi wa dini wafanya dua maalum kuombea amani
Na Mwandishi wetu, Arusha
MKUU wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amekutana na Viongozi wa dini na wa kimila kutoka Mkoa wa Arusha,...
Rais Dk. Mwinyi azindua Baraza la 11 la Wawakilishi atoa mwelekeo wa...
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi...
Serikali yatoa milioni 403 kurejesha mawasiliano Mbinga
Na Mwandishi wetu, Ruvuma
KATIKA mwaka wa fedha 2024/2025, Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Mbinga imepokea jumla ya shilingi...
Niffer na wenzake 21 wamesomewa mashtaka matatu ikiwemo uhaini
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MFANYABIASHARA Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na wenzake 21 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa...
THBUB yalaani vurugu za Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi wetu, Dodoma
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imelaani vurugu iliyotokea nchini kipindi cha Uchaguzi Mkuu na kusababisha vifo, uharibifu...
Mkutano wa Kimataifa wadau wa kilimo cha mboga na matunda kufanyika nchini
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
ASASI ya Kilele Sekta Binafsi inayoendeleza na kukuza Sekta ya Horticulture nchini (TAHA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo imeandaa...
Mpaka wa Kenya na Tanzania ni salama-Makalla
Na Mwandishi wetu, Arusha
MKUU wa Mkoa wa Arusha,CPA Amos Gabriel Makalla ameeleza kuridhishwa na hali ya ulinzi na usalama katika Mpaka wa...












