Rais Dk.Mwinyi aishukuru Serikali ya Canada
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Canada kwa...
Tanzania ina umeme wa kutosha- Dk.Biteko
📌Asema ni jitihada za uwekezaji uliofanywa na Rais Dk. Samia
📌Aipongeza TANESCO kwa kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
NAIBU Waziri...
Mama Janeth Magufuli atembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sabasaba
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MKE wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dk. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli ametembelea banda Jumuishi la...
Shughuli za uchimbaji wa mafuta na gesi zimeongezeka kutoka asilimia 55 hadi asilimia...
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Mhandisi Charles Sangweni amesema shughuli...
Sekta ya habari ni nyenzo muhimu kulinda na kudumisha Amani kipindi cha Uchaguzi Mkuu:...
📌 Avitaka vyombo vya habari kuheshimu tofauti za maoni
📌 Aviasa vyombo vya habari kuwa kioo, vijiepushe na uzushi,upendeleo kuelekea Uchaguzi Mkuu
📌 Sekta ya habari...
Wizara Katiba na Sheria mshindi wa kwanza katika kundi la Wizara Sabasaba
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini, ameelezea siri iliyochangia Wizara hiyo kuibuka mshindi wa kwanza katika...
Majaliwa aitaka TRA kuendelea kuongeza ufanisi ukusanyaji kodi
▪️Awapongeza kuvuka lengo 2024- 2025.
▪️TRA yarejesha Shilingi Trilioni 1.2 kwa walipa kodi kiwango kikubwa kuwahi kutokea.
Na Mwandishi wetu, Arusha
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka...
TANESCO yatoa zawadi ya majiko ya umeme kwa Wananchi Sabasaba
Na Esther Mnyika, Dar es Salaam
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa zawadi ya majiko ya umeme kwa Wananchi waliofika katika banda lao...
REA yajizatiti kufikisha lengo la Taifa kwenye Nishati Safi ya Kupikia
📌Mkurugenzi Mkuu REA abainisha hatua zinazochukuliwa
📌Amshukuru Rais Samia kwa kuwezesha
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi...
Mohamed: Sekta ya bahari ni biashara na inachangia uchumi kwa kiasi kikubwa
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika Wakala wa Meli Tanzania (TASAC ), Mohamed Salum amesema sekta ya...